Friday, 30 December 2016

KITABU CHA MITAJI HURU

HABARI WADAU WANGU NIPO MBIONI KUTOA KITABU KITAKACHOITWA MITAJI HURU
Watu wengi wamekuwa wakijua mtaji ni pesa tuu lakini baada ya kufanya utafiti pamoja kufanya mahojiano na wafanyabiashara pamoja na wasomi wa ngazi za juu wamekubaliana nami kuwa Mitaji ipo mingi sana.
Soma kitabu hicho kwa kujiongezea maarifa
Profesa Haroub Othman Haroub Muanzilishi wa Kituo Cha Sheria amewahi kusema kuwa " Kujifunza ni njia ya kukuza maarifa, tafiti husaidia kujua changamoto zilizoma katika jamii" Nami nimejifunza na kufanya tafiti ili kuibua changamoto za Watanzania.

Kitabu hiki kwa sasa kipo kwa softi kopi ambapo kinauzwa sh. 10,000/
Pia ndani ya kitabu hicho nimeelezea Mtaji wa Shilingi LAKI MOJA utakavyoweza kukufanya kuwa BILIONEA.
Kupata nakala hizo cha ukarasa zaidi ya mia mbili wasiliana nami 0712045119
"BILA YA KUJITUMA SAHAU KUHESHIMIWA" Salum Simba

www.masaa24.com

No comments:

Post a Comment